DC MWILAPWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MAJI KUHUSU MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA | LUKAZA BLOG

DC MWILAPWA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU WA MAJI KUHUSU MKATABA WA HUDUMA KWA MTEJA

Mkuu wa wilaya ya Tangaa,Thobias Mwilapwa akifungua mkutano wa akifungua  mkutano wa wadau kuhusu mkataba wa huduma kwa mteja  iliyoandali...

Mkuu wa wilaya ya Tangaa,Thobias Mwilapwa akifungua mkutano wa akifungua  mkutano wa wadau kuhusu mkataba wa huduma kwa mteja  iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) uliofanyika kwenye ukumbi wa Veta Jijini Tanga kushoto ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi na kulia ni Afisa  Tarafa ,Suleiman Zumo anayefuatia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji hiyo,Haika Ndalama
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi akizungumza wakati wa kikao hicho kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akimsikiliza kwa umakini 

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga  (Tanga Uwasa),Haika Ndalama akzingumza wakati wa kikao hicho cha wadau
Wananchi wa Jiji la Tanga  wakiongozwa na madiwani wao waki fuatilia kikao hicho kwa umakini mkubwa katikati ni Naibu Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga ,Mohamed Haniu
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Mustapha Selebosi akiuliza swali kwenye mkutano  huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Veta mjini hapa
Diwani wa Kata ya Msambweni (CUF)Abdurahamani Hassani akiuliza swali kwenye mkutano huo

Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga  (Tanga Uwasa)Dorah Ilo kulia aakiteta jambo na Afisa Tarafa Suleimani  Zumo wakati wa kikao hicho cha wadau
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga
(Tanga Uwasa)Dorah Ilo akifuatilia hoja mbalimbali zilizokuwa zikijiri kwenye kikao hicho

Kushoto ni Maafisa wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini na  wananachi wakifuatilia kikao hicho wa kwanza kushoto ni Meneja wa Huduma kwa Mteja wa Mamlaka hiyo,Mohamed PimaMkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akisaliana na Afisa Tarafa,Suleiman Zumo kabla ya kufungua mkutano huo katikati ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Said
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa kushoto akisalimiana na Mstahiki  Meya wa Jiji la Tanga (CCM)Mustapa Selabosi kabla ya kuanza kikao hicho  katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa  Mazingira (Tanga Uwasa)Haika Ndalama
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa kushoto akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua kikao hicho Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

Related

kitaifa 2366789090898044596

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item