DC WA HANDENI GODWIN GONDWE ASULUHUSHA MGOGORO WA MPAKA ULIODUMU KWA MUDA MREFU | LUKAZA BLOG

DC WA HANDENI GODWIN GONDWE ASULUHUSHA MGOGORO WA MPAKA ULIODUMU KWA MUDA MREFU

 Mkuu wa wilaya ya Handeni wa kwanzakushoto  akisoma ramani ya mwaka 2007 akiwa na  viongozi na wananchi ili kujua mpaka upo sehemu gan...

 Mkuu wa wilaya ya Handeni wa kwanzakushoto  akisoma ramani ya mwaka
2007 akiwa na  viongozi na wananchi ili kujua mpaka upo sehemu gani.DC Gondwe  amefanikiwa kusuluhisha mgogoro wa mpaka uliodumu kwa muda mrefu akiwa ameambatana  na Wakurugenzi wa halmashauri zote mbili uliohusisha Kijiji cha  Kweditilibe cha Handeni vijijini na kitongoji cha makinda kilichopo  Handeni Mji.

RAMANI YA 2007  ndiyo iliyotumika  kusuluhisha mgogoro huo ambapo aliwaeleza wananchi kuwa ramani hiyo  ndiyo iliyotumika kuweka mipaka ya maeneo husika Tanzania nzima na  hakuna mwenye mamalaka ya kuibadili isipokua Raisi mwenye mamalaka ya  Ardhi ya Tanzania nzima.
Mkuu wa wilaya Mh. Godwin Gondwe akisalimiana na mmoja wa wananchi wa Wilaya ya Handeni kabla ya zoezi la kutatua mgogoro wa mpaka.

Related

kitaifa 8484931131313463578

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item