KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA KATIKA VIZUIZI VYA BARABARANI (MIZANI) | LUKAZA BLOG

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA KATIKA VIZUIZI VYA BARABARANI (MIZANI)

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiweka sahihi katika kitabu cha wageni wakati wa ziara yake ...

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akiweka sahihi katika kitabu cha wageni wakati wa ziara yake katika Vizuizi vya barabarani (Mizani) na Mipakani kwa lengo la kufanya Tathimini ya Utekelezaji wa mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara na uwekezaji nchini Septemba 15, 2016.
Msimamizi wa Kituo cha Mamlaka ya Mapato TRA kilichopo Mkoani Pwani Bw. David Kisanga akitoa maelezo juu ya utendaji wa ofisi zao kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua wakati alipotembelea ofisi hizo Mkoa wa Pwani.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akimsikiliza Msimamizi wa Kizuizi cha Vigwaza Mkoani Pwani Bw. Titus Michael wakati wa ziara yake kujionea hali halisi ya vituo hivyo kwaajili ya Maboresho ya mazingira ya biashara na Uwekezaji nchini.
Baadhi ya magari yakipima uzito wa mizigo katika Mizani ya Vigwaza mkoa wa Pwani, Septemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Related

Hot Stories 8693132634470854099

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item