Maafa Kagera yapadisha Maafisa Wa Benki ya CRDB, RAS na Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba | LUKAZA BLOG

Maafa Kagera yapadisha Maafisa Wa Benki ya CRDB, RAS na Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba

Maafisa watatu wa serikali akiwa Afisa Tawala mkoa wa Kagera, (RAS), Amantius Msole, Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, Kelvin Makonda, na...

Maafisa watatu wa serikali akiwa Afisa Tawala mkoa wa Kagera, (RAS), Amantius Msole, Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, Kelvin Makonda, na meneja wa benki ya CRDB tawi la Bukoba wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mjini Bukoba leo Septemba 29, 2016wakikabiliwa na mashtaka ya kula njama kwa kufungua akaunti ya bandia inayofanana na ile inayotumika kukusanya fedha za waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani humo Septemba 10, 2016.
 RAS Amantius Msole (katikati), na watuhumiwa wenzake wakisindikizwa na maaskari kanzu kuelekea mahakamani leo
 Watuhumiwa wakiwa kwenye chumba cha mahakama wakisubiri shauri lao
RAS Amantius Msole, (wakwanza kushoto), akijadiliana jambo na wakili wake

Related

Hot Stories 7792201143236430531

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item