Madereva wa malori wa Tanzania na Kenya waliotekwa DR Congo waokolewa | LUKAZA BLOG

Madereva wa malori wa Tanzania na Kenya waliotekwa DR Congo waokolewa

Madereva wa malori kutoka nchini Tanzania waliokuwa  wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye  waokolewa n...

Madereva wa malori kutoka nchini Tanzania waliokuwa  wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye  waokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo.

Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo ambaye ameiambia BBC kuwa wote wapo salama.Mwandishi wa BBC wa eneo la mashariki mwa  Congo Byobe Malenga ana taarifa zaidi.CHANZO BBC SWAHILI

Related

Kimataifa 7999202458099112044

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item