MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA TACAIDS AJITAMBULISHA KWA WADAU WA UKIMWI JIJINI DAR ES SALAAM | LUKAZA BLOG

MKURUGENZI MTENDAJI MPYA WA TACAIDS AJITAMBULISHA KWA WADAU WA UKIMWI JIJINI DAR ES SALAAM

  Mkurugenzi Mtendaji wa Tacaids, Dk. Leonard Maboko.   Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. ...

 Mkurugenzi Mtendaji wa Tacaids, Dk. Leonard Maboko.
 Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), Dk. Leonard Maboko (kushoto), akizungumza na wadau wa ukimwi katika mkutano wa kufahamiana uliofanyika Makao Makuu ya Tacaids Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria (Tacaids), Elizabeth Kaganda na Mkurugenzi wa Ufatiliaji na Tathmini, Dk. Jerome Kamwela.
 Wadau wa ukimwi wakimsikiliza mkurugenzi wao mpya.
Wadau wa ukimwi wakimsikiliza mkurugenzi wao.
Mkurugenzi wa wa Habari na Uraghibishi, Jumanne Isango na Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa Tacaids, Yasin Abbas wakiwa kwenye mkutano huo. 
Taswira ya mkutano huo.

Related

kitaifa 3523043377139809432

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item