RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO | LUKAZA BLOG

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim  Majaliwa kabla ya kuanza kwa kik...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, (kulia-katikati) akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo. (PICHA NA IKULU)

Related

kitaifa 6262618919315380467

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item