Saida Karoli amshukuru Diamond kuurudia wimbo wake..stori ipo hapa | LUKAZA BLOG

Saida Karoli amshukuru Diamond kuurudia wimbo wake..stori ipo hapa

Saida Karoli amemshukuru Diamond Platnumz kwa kuurudia tena wimbo wake wa SalomeWimbo ambao umetokea kufanya vizuri siku chache tu tokea...


Saida Karoli amemshukuru Diamond Platnumz kwa kuurudia tena wimbo wake wa SalomeWimbo ambao umetokea kufanya vizuri siku chache tu tokea kutoka kwake. . Na Trim Saleem

Ila kwasasa Kama Saida Karoli akiachia na yeye wimbo mpya itakuwa target nzuri for her comeback maana yupo kwenye news na hii kick ya WCB. Hongera Diamond kwa kazi nzuri lakini pia Hongera saida kwa kupitia Meneja wako kuruhusu Wimbo wako kurudiwa na sasa huu ndio muda wako kurudi kwenye Muziki

Diamond Platnumz akibadilishana mkataba wa makubaliano na Meneja wa Saida Karoli, Mzee Felician Mutakyawa kuhusu kuurudia Wimbo wa Saida Karoli wa Salome.

"Tunakushukuru sana Uongozi wa Saida Karoli Mzee Felician Mutakyawa kutupa Haki Na Baraka zote kutumia wimbo wa Maria Salome. Tunatambua kwamba Nyimbo hii itaendelea kuwa moja ya nyimbo bora kuwahi kutoka katika nchi ya Tanzania." - Sallam

Kama hujapata bahati ya kuiona video yake hiyo mpya Bofya hapa 

Related

Hot Stories 1072714583641368830

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item