TAHADHARI: Kwa watumiaji wa barabara ya Mbezi Beach Kawe Chini | LUKAZA BLOG

TAHADHARI: Kwa watumiaji wa barabara ya Mbezi Beach Kawe Chini

Hali inavyoonekana eneo hilo la barabara  Daraja linalojengwa TAHADHARI; Kwa wanaotumia barabara ya mbezi beach ( kawe chini ) kwa ...

Hali inavyoonekana eneo hilo la barabara 
Daraja linalojengwa
TAHADHARI; Kwa wanaotumia barabara ya mbezi beach ( kawe chini ) kwa muda huu mwisho ni round about ya kwenda whitesands hotel, pale panapojengwa daraja jipya maji yako bize yanaganya makeke saizi, ule uzio wa ujenzi umeshaanguka nusu na sasa maji yanaondoka na kifusi cha ile kalavati ya muda iliokuwa inatumika. Mlioko mjini jitahidini kurudi mapema huenda option ikawa ni bagamoyo road pekee , sijui huo mziki wake utakuaje.....

Related

kitaifa 7102445772915368065

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item