Timu za Soka za Barlays na TBL Group zatoka sare | LUKAZA BLOG

Timu za Soka za Barlays na TBL Group zatoka sare

  Mshambauliaji hatari wa timu ya TBL Group, Lupakisyo Mwanjoba (kushoto) akiwatoka mabeki wa timu ya benki ya Baclay’s    wakati wa mche...

 Mshambauliaji hatari wa timu ya TBL Group, Lupakisyo Mwanjoba (kushoto) akiwatoka mabeki wa timu ya benki ya Baclay’s  wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, Jana. Timu hizo zilitoka sare ya  mabao 3-3.
 Beki wa timu ya benki ya  Barclays,  Athuman Omari (kulia) akijaribu kumkaba mshambuliaji wa timu ya TBL Group , Lupakisyo Mwanjoba(kushoto) wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, Jana. Timu hizo zilitoka sare ya  mabao 3-3.
 Walinzi wa timu ya TBL Group wakijaribu kumzuia mshambuliaji wa timu ya benki ya Barclays, Rajab Adebayo (katikati) asilete madhala kwenye lango lao wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa Karume jijinin Dar es Salaam jana timu hizo zilitoka sere ya mabao 3-3.
 Kocha wa timu ya TBL Group akitoa mawaidha kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko.
 Kikosi cha timu ya TBL Group wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa mchezo wao wa kirafiki na timu ya benki ya Barclays
 Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group wakifuatilia mchezo baina  ya timu yao na timu ya benki ya Barclays uliofanyika kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
 Kikosi cha timu ya benki ya Barclays.
Kipa wati ya benki ya Barclays akiokoa moja ya hatari mbele ya washambuliaji wa timu ya TBL Group wakati wa mchezo wao uliofanyika kwenye uwanja wa uhuru jijini Dar es Salaam.

Mwishoni mwa wiki hii timu za soka za kampuni ya TBL Group na Benki ya Barclays zilichuana vikali katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Karume,Ilala jijini Dar e salaam ambapo hadi mwisho wa mchezo zilizotoka sare kwa kufungana mabao 3-3.

Mpambano huo ulihudhuriwa na baadhi ya wafanyakazi kutoka taasisi hizi mbili kwa ajili ya kushangilia na kuhamasisha timu zao kuongeza mori katika mchezo

Related

Michezo 6078008995235611361

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item