Topic ya Leo tunamuangaza Doberman.... | LUKAZA BLOG

Topic ya Leo tunamuangaza Doberman....

 Doberman katika Picha Kiuhalisia aina hii ya mbwa haijulikani ni wapi lakini iliendelezwa nchini Ujerumani mwishoni mwa karne ya 19 ...

 Doberman katika Picha

Kiuhalisia aina hii ya mbwa haijulikani ni wapi lakini iliendelezwa nchini Ujerumani mwishoni mwa karne ya 19 na Mkusanyaji ushuru mmoja wa ujerumani aitwaye  Karl Friedrich Louis Doberman lengo likiwa ni kwaajili ya kuwa mbwa wa ndani na ulinzi. Mbwa huyu anafahamika zaidi kutokana na ukali wake ambapo mbegu hii ni mchanganyiko wa rotweiller, black and Tan terrier na germany pinscher. Aina hii ya mbwa ni moja kati ya aina ya mbwa maarufu sana hapa nchini kwetu kutokana na uwezo wake wa kuhimili mikimiki, ukali na uharaka. lakini ni mbwa mmoja mwenye akili sana, ambae yupo kwenye utayari muda wowote  lakini ni loyal na mwenye kutoa kampani nzuri tu kwa anayeongozana nae. Japokuwa muda miwngine mbwa huyu anakuwa msumbufu sana . Unapohitaji kummiliki huyu mbwa bas unahitaji kujipanga sawasawa na kikamilifu kuanzia matunzo, na uwe umejitoa, lakini ukimfundisha mbwa huyu inakuwa vizuri . 

Tabia zake ni  kama ifuatavyo.
Kwanza anafundishika kirahisi sana kutokana na uwezo wake wa kuelewa mambo.
Pili Ni mbwa ambaye ana uwezo wa kusolve tatizo kwa haraka sana kutoka na ushapu wake na utayari wake alionao muda wote.
Tatu Nii rahisi sana kuelewa mafunzo ya nidhamu (obidience)

na Mwisho mbwa huyu ana tabia ya kumuelewa master au mtu anayemlisha mara kwa mara na hii upelekea kutompa attention mtu mwinginw yoyote lakini mara mbwa huyu unapomruhusu kwenda kushambulia kiukweli huwezi kumrudisha nyuma mpaka pale atimize adhma aliyotumwa na master wake.

kutokana na hayo ndio maana mbwa huyu huwa ni rahisi sana kutumiwa na majeshi kama vile jeshi, polisi  japokuwa kwa nchini Tanzania sijawahi kupata nafasi ya kuona akitumiwa na jeshi letu la polisi. 

Mbwa huyu anafaa kufugwa nyumbani lakini uangalizi wa hali ya juu sana unahitaji. Ni moja kati ya mbwa anayehimili magonjwa ya ukanda wa afrika pia

Nadhani kwa leo Tuishie hapa na mwenye swali tunaweza share na kujibu 

.....Kesho tutaangalia aina nyingine ya mbwa ambapo naamini ushawahi kusikia watu wakisema nataka mbwa kama wa Polisi unajua sababu zao?Basi tukutane tena kesho @lukazablog @lukazablog

Tukutane tena Kesho 

Related

Makala 8898716356718841739

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item