Video: Nimekusogezea Wimbo mpya wa Daimond Uiitwao Salome mwenye ladha ya kitamaduni ya Kihaya | LUKAZA BLOG

Video: Nimekusogezea Wimbo mpya wa Daimond Uiitwao Salome mwenye ladha ya kitamaduni ya Kihaya

Wimbo mpya wa Daimond unaoitwa Salome Kiukweli mzuri kwasababu umechukuliwa kutoka kwenye toleo la Saida Kalori uitwao Salome. Ameupati...

Wimbo mpya wa Daimond unaoitwa Salome Kiukweli mzuri kwasababu umechukuliwa kutoka kwenye toleo la Saida Kalori uitwao Salome. Ameupatia na Kuonyesha kuwa uwezo anao.

Ushauri wangu Sehemu aliyomshirikisha Ray angemshirikisha Saida Mwenyewe kwasababu ya kupata ladha halisi yenyewe ya kihaya ambayo kwa sauti ya Kihaya ya Saida ingeleta ladha tamu sana kuliko ya ray.

Related

Hot Stories 6806936510897094632

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item