Wafanyakazi TBL Group walivyoshiriki tamasha la mashindano ya mbuzi | LUKAZA BLOG

Wafanyakazi TBL Group walivyoshiriki tamasha la mashindano ya mbuzi

  Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group,Roberto Jarrin (aliyeshika mbuzi) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi baada ya mbuzi wao...

 Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group,Roberto Jarrin (aliyeshika mbuzi) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi baada ya mbuzi wao kushinda
 Meneja wa bia ya Kilimanjaro,Pamela Kikuli akikabidhi hundi ya udhamini
 Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group,Roberto Jarrin  akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maofisa waandamizi wa kampuni hiyo kwenye tamasha
 Timu ya kikosi cha mbuzi cha Kilimanjaro ndani ya uwanja
 Mambo ya selfie
Baadhi ya wafanyakazi katika mapozi

Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya TBL Group,Roberto Jarrin aliungana na wafanyakazi wa kampuni hiyo katika tukio muhimu la kuchangisha fedha za kukabiliana na changamoto za kijamii kupitia mchezo wa mashindano ya mbuzi uliofanyika kwenye viwanja vya Farasi vilivyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Mwaka huu kampuni imedhamini mashindano haya yaliyolenga kukusanya fedha za kusaidia vituo vya kulelea watoto wenye mahitaji maalum kupitia bia yake ya Kilimanjaro.

Kama ilivyo moja ya sera ya kampuni inayoelekeza wafanyakazi wake kutenga muda wao kushiriki katika masuala ya kusaidia jamii,wafanyakazi wa TBL Group walijitokeza kwa wingi na walikuwa na furaha  wakati wote ya kushiriki tukio hili muhimu linalolenga kuleta mabadiliko kwenye jamii

Related

Burudani 5913879833332075160

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item