ZANTEL YAKABIDHI ZAWADI YA PROMOSHENI YAKE YA 'JIBWAGE NA MBUZI' | LUKAZA BLOG

ZANTEL YAKABIDHI ZAWADI YA PROMOSHENI YAKE YA 'JIBWAGE NA MBUZI'

Wateja walioibuka kidedea katika Promosheni hiyo ya 'JIBWAGE na MBUZI' walikabidhiwa zawadidi zao ambazo ni jumla ya Mbuzi  400 amb...

Wateja walioibuka kidedea katika Promosheni hiyo ya 'JIBWAGE na MBUZI' walikabidhiwa zawadidi zao ambazo ni jumla ya Mbuzi  400 ambapo pia Kampuni hiyo ilikabidhi jumla ya Mbuzi 100 katika vituo mbali mbali vya watoto Yatima nchini.
 Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed Mussa Baucha (wa pili kulia) akikabidhi mbuzi kwa washindi wa promosheni ya jibwage na mbuzi,wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi hizo kwa washindi iliyofanyika juzi mjini Zanzibar. Kulia ni Abdalla Yussuf (wa pili kushoto) ni Arafa Mohamed Dadi na Abrahman Mohamed Abdalla (kushoto). Picha na Mafoto Blog

 Meneja mauzo wa Zanztel, Yussuf Ismail (kulia) akikabidhi mbuzi kwa mshindi, wa shindano la Jibwage na Mbuzi, Hemed Ali Omar wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi hizo iliyofanyika mjini Zanzibar, juzi. Picha na Mafoto Blog

Related

Kijamii 7460908443576672093

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item