MAENDELEO BENKI YAFUNGUA TAWI JIPYA | LUKAZA BLOG

MAENDELEO BENKI YAFUNGUA TAWI JIPYA

    Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Benki Bw. Ibrahim Mwangalaba akizungumza na wageni waalikwa jana katika uzinduzi wa tawi jipya la...


   Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Benki Bw. Ibrahim Mwangalaba
akizungumza na wageni waalikwa jana katika uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam,kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo Benki Bw. Amulike Ngeliama na Mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Naftal Nsemwa.


  Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Benki Bw. Ibrahim Mwangalaba
akiwaongoza wageni waalikwa katika maeneo mbalimbali ya tawi jipya la Mwenge,  Dar es Salaam lililozinduliwa jana.


 Wageni waalikwa katika hafla fupi ya ufunguzi wa tawi jipya la Maendeleo Benki la Mwenge wakiwa katika picha ya pamoja mara  baada ya ufunguzi wa tawi hilo mapema jana


   Baadhi ya wateja wakipata huduma za kibenki katika tawi la Maendeleo
Benki lililofunguliwa leo jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo Benki Bw. Amulike Ngeliama akipata huduma katika tawi jipya la benki hiyo baada ya uzinduzi Mwenge, Dar es Salaam

Related

Biashara 2676183140699922020

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item