MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA MJINI DODOMA | LUKAZA BLOG

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA MJINI DODOMA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu  Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wa...


  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu  Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Waganga  wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma

 Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya  uliofanyika kwenye Chuo Cha Mipango mjini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu  Hassan (kulia) akizungumza na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na  Watoto Mhe. Ummy Mwalimu mara baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa mwaka   wa Waganga  wakuu wa Mikoa na Wilaya kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma 

Related

kitaifa 7468463692530655090

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item