MARAHABA MUSIC FESTIVAL LINAVYOAMSHA ARI YA KUJENGA VIPAJI KWA WASANII MBALIMBALI HAPA NCHINI | LUKAZA BLOG

MARAHABA MUSIC FESTIVAL LINAVYOAMSHA ARI YA KUJENGA VIPAJI KWA WASANII MBALIMBALI HAPA NCHINI

Baadhi ya Wasanii wa kundi la  Dar Creators Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwenye tamasha la muziki wa asili  lililopewa jina ’Marahaba Swa...


Baadhi ya Wasanii wa kundi la  Dar Creators
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwenye tamasha la muziki wa asili  lililopewa jina ’Marahaba Swahili Music Festival’ lililofanyika hivi  karibuni katika viwanja vya Biafra na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa  Jiji la Dar waliopata burudani mbalimbali za muziki wa ngoma za asili na nyimbo mbalimbali zilizoimbwa (Live).

Mmoja wa Waratibu wa  tamasha hilo,Karola Kinasha alieleza lengo lake ni kukuza vipaji vya wasanii chipukizi  wanaoimba na kupiga vyombo mbalimbali vya muziki wa asili,na piia  kuutangaza muziki wetu wa asili.

Mwenye kanga ni mwanamuziki kutoka visiwa vya Mayotte aliyepanda
jukwaani akisindikizwa na wanafunzi wa muziki wa kituo cha Music mayday

Mwanamuziki kutoka katika viziwa vya Mayotte akipiga gitaa akishirikiana na wanamuziki kutoka chuo cha muziki cha Music May Day.

Related

Burudani 969921918132646204

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item