Mbunge Mkuranga ashiriki kwenye mradi wa ujenzi wa zahanati | LUKAZA BLOG

Mbunge Mkuranga ashiriki kwenye mradi wa ujenzi wa zahanati

  Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akishiriki katika ufyatuaji wa tofali kwa ajili ya zahanati mpya itakayojengwa katika kijiji cha Tun...

 Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akishiriki katika ufyatuaji wa tofali kwa ajili ya zahanati mpya itakayojengwa katika kijiji cha Tundu leo ikiwa ni sehemu ya ziara yake kukagua maendeleo wilaya hiyo.
 Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akiwa amebeba tofali alilofyatua kwa mkono wake akipeleka sehemu ya kuhifadhi ili likaushwe na jua katika kijiji cha Tundu panapotarajiwa kujengwa Zahanati ya Tundu leo katika ziara yake kukagua maendeleo ya Wilaya hiyo.
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa Kiiiji cha Maamudi Mpela leo katika ziara yake kutembelea wananchi pamoja na kuwashukuru  pamoja na kuwasikiliza kero zao leo mkoani Pwani. 

Related

Kijamii 2655042076398415797

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item