Mkuu wa Majeshi Tanzania, Jenerali Mwamunyange atembelewa na Mkuu wa kikosi cha Anga cha Zimbambwe | LUKAZA BLOG

Mkuu wa Majeshi Tanzania, Jenerali Mwamunyange atembelewa na Mkuu wa kikosi cha Anga cha Zimbambwe

  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis    Mwamunyange (watatu kushoto), akiwa na Mkuu wa Jeshi la Anga la Zimbabwe luteni Jenerali (A...

 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis  Mwamunyange (watatu kushoto), akiwa na Mkuu wa Jeshi la Anga la Zimbabwe luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri (wapili kushoto), alipotembelea Makao Makuu  ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Octoba 2016.
 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis  Mwamunyange (kulia) akiwa na Mkuu wa Jeshi la Anga la Zimbabwe luteni Jenerali (Air Martial) Penance Shiri, alipotembelea Makao Makuu ya JWTZ Upanga Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Octoba 2016, wakati wa ziara ya kikazi nchini.

Related

kitaifa 5121192034042195908

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item