NEWZ ALERT: KESI YA SCORPION YAHAMISHIWA MAHAKAMA KUU | LUKAZA BLOG

NEWZ ALERT: KESI YA SCORPION YAHAMISHIWA MAHAKAMA KUU

Mtuhumiwa Salum Henjewele almaarufu kwa jina la Scopion (mwenye kanzu) akitoka katika viunga vya mahakamani Ilala leo.   Shaur...


Mtuhumiwa Salum Henjewele almaarufu kwa jina la Scopion (mwenye kanzu) akitoka katika viunga vya mahakamani Ilala leo. 

Shauri la kesi ya jinai inayomkabili mtuhumiwa Salum Njwete almaarufu kwa jina la Scorpion,limeondolewa katika mahakama ya wilaya ya Ilala na
kuhamishiwa katika Mahakama kuu jijini Dar es Salaam, kutokana na ombi l
ililowasilishwa katika mahakama hiyo na wakili upande wa
Mashtaka Munde Kalombora, na Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo Mhe. Adelf Sachore na kuridhia.


TAARIFA ZAIDI TUTAWALETEA.Crdt Michuzi Blog

Related

Hot Stories 6660477827684289068

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item