Startimes Kuonyesha Mpambano wa Masumbwi utakaofanyika Kesho Diamond Jubilee | LUKAZA BLOG

Startimes Kuonyesha Mpambano wa Masumbwi utakaofanyika Kesho Diamond Jubilee

Mpiga masumbwi wa  Tanzania Ibrahim Class kesho ijumaa tarehe 28 atashuka dimbani kurushiana makonde na mpiga masumbwi kutoka nchini Afri...

Mpiga masumbwi wa  Tanzania Ibrahim Class kesho ijumaa tarehe 28 atashuka dimbani kurushiana makonde na mpiga masumbwi kutoka nchini Afrika Kusini ambapo pambano lao litakuwa la awali huku likifuatiwa na pambano la Mpiga masumbwi mwingine kutoka Tanzania Dullah Mbabe akipambana na Mpiga masumbwi kutoka China Chengbo Zheng.

Mapambanoo hayo yatafanyiaka kesho katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuanzia saa 12 Jioni na mpambano huu utarushwa live na channeli ya Sibuka Maisha inayopatikana katika king'amuzi cha Startimes Pekee.. 

Wateja wa startimes Tanzania wale wapenda masumbwi wanashauriwa kulipia kifurushi chao mapema kabisa kwaajili ya kushuhudia mpambano wa Kimataifa.

Startimes pekee ndio watakaonyesha mpambano huu.

Related

Michezo 5314730311785385497

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item