TAMASHA KUBWA LA KUSIFU NA KUABUDU KUFANYIKA KATIKA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA. | LUKAZA BLOG

TAMASHA KUBWA LA KUSIFU NA KUABUDU KUFANYIKA KATIKA KANISA LA EAGT LUMALA MPYA JIJINI MWANZA.

Jumapili Oktoba 09, 2016 katika Kanisa la "EAGT Lumala Mpya International Church" Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, l...

Jumapili Oktoba 09, 2016 katika Kanisa la "EAGT Lumala Mpya International Church" Sabasaba Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza, linatarajiwa kufanyika tamasha kubwa la Kusifu na Kuabudu.

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo, Dkt.Daniel Moses Kulola, amewahisi watu wote kufika kwenye tamasha hilo kwani kwenye kusifu na kuabudu, ana uhakika wa kuisikia sauti ya Mungu na huwa huru na kujitenga na dhambi ikizingatiwa kwamba kuna nguvu ya Mungu kwenye kusifu na kuabudu.

Mratibu wa tamasha hilo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Vijana, Max Kemmy, amesema tamasha hilo litakuwa la aina yake na kwamba litaanza kuanzia majira ya saa nane kamili mchana likiwa na ujumbe usemao, "Njoo Tuabudu Pamoja".
Na BMG

Related

kitaifa 8979066926772329328

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item