TBL Group inavyoadhimisha Wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani kwa Vitendo | LUKAZA BLOG

TBL Group inavyoadhimisha Wiki ya Nenda Kwa Usalama Barabarani kwa Vitendo

Magari ya wafanyakazi yafanyiwa zoezi la ukaguzi   Mkaguzi wa magari toka makao makuu Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani , ...

Magari ya wafanyakazi yafanyiwa zoezi la ukaguzi
 Mkaguzi wa magari toka makao makuu Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani , Muhidini Mohamed akimwelekeza  jambo  Meneja  Uendeshaji , Mauzo na Usambazaji wa TBL Group  Martin Wolfaardt,wakati alipokuwa akikagua magari ya wafanyakazi wa TBL Group   Masaki jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama.Kulia ni Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla.
 Mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani , Muhidini Mohamed  (wa pili kulia) akifafanua  jambo   kwa wafanyakazi wa TBL Group wakati alipofika katika ofisi za Masaki jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ukaguzi wa magari ya wafanyakazi wa kampuni hiyo .  Kutoka kushoto ni meneja  uendeshaji , Mauzo na Usambazaji wa TBL Group  Martin Wolfaardt  , Meneja majengo  Daud Luwilla na Afisa Uhusiano na Mawasiliano Amanda walter.
 Wafanyakazi wa Tbl Group ,Kutoka kushoto , Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla na Afisa Uhusiano na Mawasiliano Amanda walter (katikati) wakimuangalia kwa makini Mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani ,Muhidini Mohamed  wakati alipokuwa akiwaandika stika za magari yao ofisini kwao Masaki jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama.
 Mkaguzi wa magari toka makao makuu ya Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani , Muhidini Mohamed  (kushoto)akifafanua  jambo   kwa wafanyakazi wa TBL Group wakati alipokuwa akikagua moja ya magari ya wafanyakazi wa TBL katika ofisi zilizopo  Masaki jijini Dar es Salaam ,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama  .Kulia ni meneja  uendeshaji , Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla na Afisa Uhusiano na Mawasiliano Amanda walter.
 Meneja majengo wa TBL  Daud Luwilla (kulia) na afisa Uhusiano na Mawasiliano wa TBL Group  Amanda walter , wakimwangalia kwa makini Mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi  Polisi kitengo cha usalama barabarani nchini, Muhidini Mohamed wakati alipokuwa akikagua magari ya wafanyakazi kampuni hiyo Masaki jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani.
Meneja Masoko wa TBL Group Fimbo Butalla (anayeendesha gari) akikaguliwa na Mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani ,Muhidini Mohamed  (kushoto) wakati wa zoezi la kukagua  magari ya wafanyakazi wa TBL iliyofanyika  Masaki jijini Dar es Salaam ,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama  .Kulia ni Afisa Uhusiano na Mawasiliano Amanda walter na Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla ,

Related

Hot Stories 1074894486927559064

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item