Tuzo za MTV MAMA kuonyeshwa live kupitia Startimes Tanzania katika Chaneli ya MTV BASE | LUKAZA BLOG

Tuzo za MTV MAMA kuonyeshwa live kupitia Startimes Tanzania katika Chaneli ya MTV BASE

Kesho nchini Afrika Kusini kuna tuzo za muziki zinazotelewa na MTV zijulikanazo kama MTV MAMA ambapo wasanii wa Tanzania Diamond Platnum,...

Kesho nchini Afrika Kusini kuna tuzo za muziki zinazotelewa na MTV zijulikanazo kama MTV MAMA ambapo wasanii wa Tanzania Diamond Platnum, Vanessa Mdee, Navy Kenzo wakishiriki katika Vipengele mbalimbali huku Msanii Alikiba akiwa ameshirikiswa katika Nyimbo ya Kundi la Muziki la Kenya lijulikanalo kama Sauti Soul katika wimbo wao wa Unconditionally bae 

Tuzo hizo zitarushwa moja kwa moja na chaneli ya MTV BASE ambapo kwa Tanzania unaweza kujionea Live kupitia king'amuzi cha Startimes pekee huku ukiwa umelipia kifurushi chako cha Uhuru.

Tuzo hizo zitarushwa kesho saa tatu usiku Kupitia chaneli hiyo ya MTV BAS.

Lipia Kifurushi chako sasa upate nafasi ya kushuhudia nani anarudi na tuzo Tanzania kati ya Diamond Platnumz, Vanessa Mdee, Navy Kenzo au Wote kwa pamoja?

Related

Hot Stories 2892966791905528631

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item