UBA BANK YAMSAKA MDAIWA WAKE ABDALLAH TWAHIB SONGORO | LUKAZA BLOG

UBA BANK YAMSAKA MDAIWA WAKE ABDALLAH TWAHIB SONGORO

“United Bank for Africa (Tanzania) Limited inapenda kuutaarifu umma kwamba mahakama kuu kitengo cha biashara imeamuru kukamatwa kwa Bw. ...

“United Bank for Africa (Tanzania) Limited inapenda kuutaarifu umma kwamba mahakama kuu kitengo cha biashara imeamuru kukamatwa kwa Bw. ABDALLAH TWAIB SONGORO wa GREAT AFRICA LTD kwa kutolipa deni kama ilivyobainishwa katika “Warrant of Arrest” ya kesi namba 168/2013 iliyotolewa tarehe 25th September 2016. Tunaomba yeyote anayejua taarifa zake awasiliane na benki kwa namba………

Imetolewa na UBA Bank kitengo cha masoko na mawasilianoImetolewa na UBA Bank kitengo cha masoko na mawasiliano

Related

Biashara 8870489930999225201

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item