ULEGA - TUNAWAJIBU WA KUWATUMIKIA WANANCHI WA MKURANGA | LUKAZA BLOG

ULEGA - TUNAWAJIBU WA KUWATUMIKIA WANANCHI WA MKURANGA

Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza kwenye  mkutano wa baraza la madiwani  juu ya kufanya kazi kwa masilahi ya wananchi na sio...

Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza kwenye  mkutano wa baraza la madiwani  juu ya kufanya kazi kwa masilahi ya wananchi na sio kupelekwa kama Kondo leo mkoani Pwani.
Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga,Saum Ally Papen ajifafanua jambo kwenye mkutano wa baraza la madiwani leo  mkoani Pwani.
.Sehemu ha madiwani.Picha na Emmanuel Massaka.

Na Chalila Kibuda, Mkuranga
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega amesema kuwa baraza la madiwani wafanye kazi kwa masilahi ya wananchi na sio kupelekwa kama Kondoo.
Ulega ameyasema hayo leo katika baraza la Madiwani wa Mkuranga katika ulidhiaji wa Ekari 250 ambazo zitatimika katika miradi mbalimbali ya Halmashauri hiyo.

Amesema kuwa mchakato wa kupata ardhi hiyo ulianza muda mrefu hivyo ulipofikia ni pazuri kwa watendaji kijipanga.

Aidha amesema wananchi wanataka maendeleo na majukumu hayo ni madiwani nis kuwajibika pamoja na amesema Mkuranga iko nyuma kimaendeleo hivyo kila kiongozi afanye kazi kwa ajili ya Mkuranga.
Nae Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Juma Abeid amesema ukusanyaji wa mapato iko chini hivyo kunahitaji nguvu katika ukusanyaji wa mapato.

Related

kitaifa 1442734402384438953

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item