Wafanyabiashara wa vinywaji Dar wapigwa msasa wa ujasiriamali | LUKAZA BLOG

Wafanyabiashara wa vinywaji Dar wapigwa msasa wa ujasiriamali

  Meneja Mauzo wa TBL Group, Patrick Swai, akifafanua jambo    kwa wafanyabiashara wa mkoa wa Dar es Salaam, ambao ni wauzaji wa   ...

 Meneja Mauzo wa TBL Group, Patrick Swai, akifafanua jambo  kwa wafanyabiashara wa mkoa wa Dar es Salaam, ambao ni wauzaji wa   vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group ,wakati wa semina  ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Programe)  iliyofanyika katika ukumbi wa  Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam
Ni Kupitia Retailer Development  Programme ya TBL Group
 Baadhi ya wafanyabiashara  wa mkoa wa Dar es Salaam ambao ni wauzaji wa vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group wakimsikiliza kwa makini mkufunzi wa  wa utoaji wa huduma za ushauri ,mafunzo na uendelezaji wa biashara  wa kampuni ya TAPBDS ,Joseph Migunda,(kushoto) wakati wa semina  ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group na kufanyika katika ukumbi wa  Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam .
 aadhi ya wafanyabiashara  wa mkoa wa Dar es Salaam ambao ni wauzaji wa vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group wakiwa kwenye  semina  ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group leo Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam .
 Baadhi ya wafanyabishara wa mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa kwenye semina  ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group leo Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam .
 Mmoja wa wafanyabiashara ya  vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group, akiuliza swali wakati wa  semina  ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group  na  kufanyika katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Slaam .
Washiriki wa semina ya  mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Program) wanaouza vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group wakiwa kwenye picha ya pamoja  wakati wa semina hiyo iliyoandaliwa na TBL Group na kufanyika ukumbi wa   Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam .

Related

Biashara 4527350843024751961

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item