Waliotumikia TBL Group muda mrefu wapewa tuzo | LUKAZA BLOG

Waliotumikia TBL Group muda mrefu wapewa tuzo

  Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa TBL Group Gareth Jones wa pili (kushoto) akimkabidhi Meneja Masoko wa TBL Fimbo Butallah cheti cha...

 Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa TBL Group Gareth Jones wa pili (kushoto) akimkabidhi Meneja Masoko wa TBL Fimbo Butallah cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 15 kazini    wakati wa hafla  ya kuwatunuku wafanyakazi wa muda mrefu iliyofanyika  Ilala jijini Dar es Salaam,wanaoshudia kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chibuku David Cason na Meneja wa Kiwanda cha bia cha Ilala Calvin Martin
 Rose Mhina akipokea cheti cha kutimiza miaka kumi kazini
 Sophia Nkya akikabidhiwa cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 10 kazini
 Calvin Nkya (wapili kulia) akikabidhiwa cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini
 Mkurugenzi Mtendaji wa DarBrew David Cason (kushoto)  akimkabidhi  Tito Kasele cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini
 Mtaalamu wa Uzalishaji bora wa TBL Group Charles Nkondola akipokea cheti cha kutimiza miaka 20 kazini
 Mfanyakazi,Tom Matechi,akipokea cheti kwa utumishi wa miaka 20
 Bw.Fabian Mwakatuma (wapili kulia) akikabidhiwa cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini
 Conchesta Ngaiza akipokea cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini   
 John Malissa akipokea cheti cha ukumbusho wa kutimiza miaka 20 kazini
Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Group waliotunukiwa vyeti kwa kufanya kazi muda mrefu wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Kampuni ya TBL Group imewatunukiwa tuzo wafanyakazi wake tuzo wafanyakazi wake waliotumikia kampuni kwa muda mrefu na kwa uadilifu katika vipindi vya kuanzia miaka kumi hadi 20 kwa kuthamini mchango wao walioutoa kwa kampuni.Hafla ya kuwakabidhi vyeti vya tuzo ilifanyika katika kiwanda cha TBL cha Ilala jijini Dar es Salaam.

Related

Biashara 4376211044697409869

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item