Wateja wa benki ya UBA Tanzania wafurahishwa na huduma za benki hiyo wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja | LUKAZA BLOG

Wateja wa benki ya UBA Tanzania wafurahishwa na huduma za benki hiyo wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja

 Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Bank ya UBA Tanzania, Bw Chriss Byaruhanga akizungumza machache wakati wa kuzindua wiki ya huduma kwa wateja k...

 Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Bank ya UBA Tanzania, Bw Chriss Byaruhanga akizungumza machache wakati wa kuzindua wiki ya huduma kwa wateja katika Benki ya UBA Tanzania Mapema jana asubuhi. Wiki hii ni wiki ya huduma kwa wateja duniani ambapo Bank ya UBA Tanzania imedhamiria kutoa wafanyakazi shupavu ambao watawahudumia vyema wateja wao na kufurahia huduma za benki hiyo inayofanya vizuri
  Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Bank ya UBA Tanzania, Bw Chriss Byaruhanga akizungumza na wafanyakazi pamoja na wateja wa Benki ya UBA Tanzania wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja
 Wateja wa Bank ya UBA Tanzania pamoja na wafanyakazi wa bank hiyo wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya wiki ya huduma kwa wateja kuzinduliwa
  Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Bank ya UBA Tanzania, Bw Chriss Byaruhanga akimpa zawadi ya fulana mmoja wa wateja waliofika katika benki hiyo wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja mapema leo
 Mteja wa UBA Tanzania akipokea zawadi kutoka  Afisa Mwendeshaji Mkuu wa Bank ya UBA Tanzania, Bw Chriss Byaruhanga
 Baadhi ya wafanyakazi na wateja wa bank ya UBA Tanzania wakikata keki kuashiria uzinduzi rasmi wa wiki ya huduma kwa wateja ambapo wiki hii bank ya UBA Tanzania imedhamiria kuhakikisha wafanyakazi wake wanatoa huduma bora zaidi na kumfanya mteja kufurahia zaidi na zaidi kuliko siku za kawaida
 baadhi ya wafanyakazi wa UBA Bank
Baadhi ya wateja wakipata huduma za kifedha ndani ya bank ya UBA Tanzania mara baada ya kuwasili kwenye bank hiyo wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja.Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog

Related

Biashara 6926801587131985164

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item