WAZIRI JANUARY MAKAMBA ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA UKUTA WA MTO PANGANI ULIOATHIRIKA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI | LUKAZA BLOG

WAZIRI JANUARY MAKAMBA ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA UKUTA WA MTO PANGANI ULIOATHIRIKA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba  kushoto akimsikiliza kwa umakini Mbunge wa Jimbo la Panga...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba  kushoto akimsikiliza kwa umakini Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa  Aweso wakati alipofanya ziara wilaya ya Pangani kuangalia maeneo  kutakapojengwa ukuta wa mto Pangani na Upandaji wa Miti ya Mikoko
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba  akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani  kuhusu kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa ili kuweza kusaidia ukuaji wa  uchumi kulia ni Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa Aweso kushoto ni  Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kushoto kwake ni Mbunge wa  Jimbo la Pangani(CCM) Jumaa Aweso kulia ni Mkuu wa wilaya ya  Pangani,Zainabu Issa
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba akisisitiza jambo kwa watendaji wa halmashauri ya wilaya ya Pangani kuhusu kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
 Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Mayungi akisisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba kuhusu hatua wanazochukua kukabiliana na  mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye maeneo mbalimbali hapa nchini ikiwemo Mto Pangani
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba katikati akitazama namna mto Pangani  ulivyoliwa kutokana na mabadiliko ya Tabia ya nchi wakati alipofanya  ziara ya kuutembelea leo kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani  (CCM)Jumaa Aweso kulia ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani  Pangani Twahiru Mkongo
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano,January Makamba katikati akitazama namna mto Pangani  ulivyoliwa kutokana na mabadiliko ya Tabia ya nchi wakati alipofanya  ziara ya kuutembelea leo kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani  (CCM)Jumaa Aweso kulia ni Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani  Pangani Twahiru Mkongo

 Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo akimuonyesha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na
Muungano,January Makamba katikati maeneo mbalimbali yaliyoathirika na  mabadiliko ya tabia ya nchi kushoto kwake ni Mbunge wa Jimbo la Pangani  (CCM)Jumaa Aweso kulia ni

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba  wa pili kutoka kushoto akitembelea maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mabadiliko ya tabia ya nchi kwenye katika Pangani kushoto  ni  Afisa Misitu na Kiungo wa Mradi huo wilayani Pangani Twahiru Mkongo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba  wa pili kutoka kushoto akiangalia maeneo mbalimbali yaliyoathirika na  mabadiliko ya tabia ya nchi
 Hili ni miongoni mwa maeneo ya ukuta wa mto Pangani yaliyo athiriwa na mabadiliko ya tabia ya nchi
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba akitembelea maeneo  mbalimbali kujionea athari za mabadiliko ya tabia ya nchi
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba akisisitiza jambo mara  baada ya kutembelea kujionea namna ukuta wa mto Pangani ulivyoliwa  kutokana na mabadiliko ya nchi
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba katikati akiangalia taarifa ya mradi wa Ujenzi wa Ukuta wa Mto Pangani mara baada ya kuutembelea leo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba  kushoto akiwa amekaa kwenye jahazi mara wakati alipofanya ziara ya  kutembelea wilayani Pangani na Ukata wa Mto Pangani ambao umeliwa na  maji kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba kushoto akisisitiza jambo Waziri Amiri ambao walikutwa wakiendelea na shughuli zao pembezoni mwa  mto Pangani

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba wa tatu kutoka kushoto  akimsikiliza kwa umakini Diwani wa Kata ya Pangani Mashariki Akida Boramimi 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba  kushoto akisisitiza jambo kwa Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM)Jumaa  Aweso wakati wa ziara hiyo katikati ni  Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Richard Mayungi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, January Makamba akizungumza na waandishi wa  habari mara baada ya ziara yake hiyo leo hiiHabari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

Related

kitaifa 4072632339404322560

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item