Yaliyojiri siku ya familia ya TBL Moshi Malting Plant | LUKAZA BLOG

Yaliyojiri siku ya familia ya TBL Moshi Malting Plant

  Wafanyakazi pamoja na familia zao katika burudani mbalimbali  Muda wa chakula  Watoto wakiburudika Wafanyakazi wa kampu...

 Wafanyakazi pamoja na familia zao katika burudani mbalimbali
 Muda wa chakula
 Watoto wakiburudika
Wafanyakazi wa kampuni ya kiwanda cha TBL cha mjini Moshi walijumuika na familia zao katika siku ya Familia iliyofanyika kwenye viwanja vya hoteli ya Weru Weru River Lodge.
Kulikuwepo na burudani za kila aina kuanzia michezo ya aina mbalimbali ya wakubwa na watoto,burudani ya muziki,maakuli ya kila aina bila kusahau mambo ya kata mti panda mti.

Related

Burudani 4395361194129756764

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item