Yaliyojiri TBL Mbeya waliposherehekea mafanikio ya kiwanda | LUKAZA BLOG

Yaliyojiri TBL Mbeya waliposherehekea mafanikio ya kiwanda

 Wafanyakazi wakifanya mazoezi ya kuimarisha miili yao chini ya mpango wa Afya Kwanza wa kampuni  Mmoja wa wafanyakazi wa mu...

 Wafanyakazi wakifanya mazoezi ya kuimarisha miili yao chini ya mpango wa Afya Kwanza wa kampuni
 Mmoja wa wafanyakazi wa muda mrefu akipokea cheti kutoka kwa Meneja wa Kiwanda,Jemedari Waziri
Meneja wa kiwanda Jemedari Waziri akiongea na wafanyakazi na wageni waalikwa
 Wafanyakazi wakizungusha ngao na cheti cha tuzo mitaani
Hivi karibuni kwa mara nyingine kiwanda cha TBL cha Mbeya kilitangazwa kuwa kiwanda bora cha kutengeneza bia barani Afrika na kunukiwa tuzo katika hafla ya SABMiller iliyofanyika nchini Afrika Kusini.
Wafanyakazi wa kiwanda hicho mwishoni mwa wiki waliitumia siku nzima kusheherekea mafanikio hayo makubwa ambayo yaliambatana na kufanya mazoezi chini ya Mpango wa kampuni wa Afya Kwanza,kuandamana mitaani kuonyesha tuzo waliyopata kwa wananchi,kutunuku vyeti kwa wafanyakazi wa muda mrefu pia kulikuwepo na hafla kubwa ya kupongezana iliyohudhuriwa na wafanyakazi na viongozi mbalimbali wa serikali mkoani Mbeya.

Related

Biashara 1632966955030301618

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item