Ziara ya Jaji Mkuu wa Australia ya Kusini nchini Tanzania | LUKAZA BLOG

Ziara ya Jaji Mkuu wa Australia ya Kusini nchini Tanzania

Jaji Mkuu wa Australia ya Kusini,  Mhe.Christopher Kourakis (kushoto) akisoma kitabu kinachohusu Chama cha Majaji Wanawake      Tanzania ...

Jaji Mkuu wa Australia ya Kusini, Mhe.Christopher Kourakis (kushoto) akisoma kitabu kinachohusu Chama cha Majaji Wanawake   Tanzania  wakati alipotembelea ofisini kwa Mwenyeji wake Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman.
Jaji Mkuu wa Australia  ya Kusini, Mhe. Christopher Kourakis (kushoto), akizungumza jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman (kulia) katika ofisi ya   Jaji Mkuu wa Tanzania, iliyopo kwenye jengo la Mahakama ya Rufani Tanzania, jijini Dar es Salaam. Mhe. Jaji Kourakis yupo nchini kwa ziara ya siku tatu yenye lengo la kujenga ushirikiano katika utendaji kazi wa Mahakama baina   ya nchi hizo mbili. Kushoto ni Bi. Emma Gorman, Katibu wa Jaji Mkuu wa Australia Kusini.

Related

kitaifa 1700649828091178608

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item