BODI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA KUPITIA UPYA MIKATABA YA UWEKEZAJI YA SHIRIKA HILO | LUKAZA BLOG

BODI YA SHIRIKA LA POSTA TANZANIA KUPITIA UPYA MIKATABA YA UWEKEZAJI YA SHIRIKA HILO

Baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta na waandishi wa habari, wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa yakielezwa na Mwenyeki...

Baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta na waandishi wa habari, wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa yakielezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo katika mkutano huo.  
Baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa bodi ya shirika hilo, Dk. Haruni Kondo kwa waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Posta wakimsikiliza Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haruni Kondo, wakati alipokuwa akielezea kuhusu kuipitia upya mikataba yenye utata, iliyoingia shirika hilo na taasisi mbalimbali pamoja na watu binafsi. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu kuipitia upya mikataba iliyoingia shirika hilo na Taasisi mbalimbali na watu binafsi kutokana na baadhi yake kugundulika ikiwa na utata wa maslahi ya shirika hilo.
Baadhi ya waandishi wa habari na baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta, wakifuatilia masuala mbalimbali yaliyokuwa yakielezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo katika mkutano huo. 
Baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta na waandishi wa habari, wakiwa katika mkutano huo.
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta, Fortunatus Kapinga, akitoa ufafanuazi kwa waandishi wa habari na pia kuitaja baadhi ya miradi hiyo na sehemu ilipo, wakati wa mkutano huo. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya shirika, Dk. Haruni Kondo na kulia ni Katibu wa shirika hilo, Rochus Assenga. 
Baadhi ya wapiga picha wa vyombo vya habari, wakichukua maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo, wakati akizungumza na waandishi wa habari. 
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta, Fortunatus Kapinga, akitoa ufafanuazi kwa waandishi wa habari walipotaka ufafanuazi wa masuala mbalimbali kuhusu miradi hiyo. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya shirika, Dk. Haruni Kondo na kulia ni Katibu wa shirika hilo, Rochus Assenga. 
Baadhi ya wakuu wa vitengo vya Shirika la Posta wakiwa katika mkutano huo na waandishi wa habari. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania, Dk. Haruni Kondo (katikati), akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari, wakati akijibu maswali kuhusu masuala mbalimbali ya utekelezaji na hatua zitakazo chukuliwa kwa wahusika wa 

Related

kitaifa 1882733282620726669

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item