Msaada Unahitajika Kwa Huyu Dada | LUKAZA BLOG

Msaada Unahitajika Kwa Huyu Dada

Jina la Huyu dada(pichani) Ni Suzy, anahitaji msaada ila sio wa pesa Bali anahitaji msaada wa Wilchair kumsaidia kwendea kanisani na kum...


Jina la Huyu dada(pichani) Ni Suzy, anahitaji msaada ila sio wa pesa Bali anahitaji msaada wa Wilchair kumsaidia kwendea kanisani na kumrahisishia kutembea kwasababu amepooza kutoka kiunoni Kushuka chini. Hana wazazi na ndugu wamemtenga muda mrefu, kula yake Ni majaaliwa ya Mungu kiasi kwamba hatamani Kuishi tena wakati mwingine. Eneo analoishi Ni matifutifu sehemu kubwa na kwakuwa hawezi kutembea Bali anatambaa Inakuwa shida Sana wakati wa jua au mvua. Hana hata mtoto wa kumtuma kikombe wala sahani. Kwa atakayeguswa na Hali yake na kutaka kumsaidia hiyo baiskeli ya kumsaidia kutembea please nitumie ujumbe inbox nikuunganishe na Mtu ambaye anakaa jirani nae .

Huyu dada nilimuona kwa macho yangu kwa jinsi anavyopata shida kubwa so nimejitoa kufanya kaJina la Huyu dada(pichani) Ni Suzy, anahitaji msaada ila sio wa pesa Bali anahitaji msaada wa Wilchair kumsaidia kwendea kanisani na kumrahisishia kutembea kwasababu amepooza kutoka kiunoni Kushuka chini. Hana wazazi na ndugu wamemtenga muda mrefu, kula yake Ni majaaliwa ya Mungu kiasi kwamba hatamani Kuishi tena wakati mwingine. Eneo analoishi Ni matifutifu sehemu kubwa na kwakuwa hawezi kutembea Bali anatambaa Inakuwa shida Sana wakati wa jua au mvua. Hana hata mtoto wa kumtuma kikombe wala sahani. Kwa atakayeguswa na Hali yake na kutaka kumsaidia hiyo baiskeli ya kumsaidia kutembea please nitumie ujumbe inbox nikuunganishe na Mtu ambaye anakaa jirani nae .


Huyu dada nilimuona kwa macho yangu kwa jinsi anavyopata shida kubwa so nimejitoa kufanya kampeni mpaka atakapopata msaada wa hiyo baiskeli hata ichukue muda kiasi gani .


Tafadhali naomba share hii post ili wengi waone zaidi ili kurahisisha kupata wa kumsaidia baiskeli ya kutembeleampeni mpaka atakapopata msaada wa hiyo baiskeli hata ichukue muda kiasi gani .

Tafadhali naomba share hii post ili wengi waone zaidi ili kurahisisha kupata wa kumsaidia baiskeli ya kutembelea

UPDATE: namba ya Suzy hii hapa 0718695255 namba ya Mtu wa karibu nae ambaye namjua Ni hii 0715983343 anaitwa Batuli

Related

Hot Stories 7224570577739978046

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item