MTANZANIA VICTORIA MWANZIVA ASHIRIKI KOZI MAALUM YA WANAWAKE KWA AJILI YA KUDUMISHA AMANI BARANI AFRI KA, ADDIS ABABA ETHIOPIA. | LUKAZA BLOG

MTANZANIA VICTORIA MWANZIVA ASHIRIKI KOZI MAALUM YA WANAWAKE KWA AJILI YA KUDUMISHA AMANI BARANI AFRI KA, ADDIS ABABA ETHIOPIA.

Bi. Victoria Mwanziva (kulia) akitoa mchango wake katika kozi maalum kwa wanawake  kwa ajili ya kudumisha Amani Barani Afrika Baadhi...

Bi. Victoria Mwanziva (kulia) akitoa mchango wake katika kozi maalum kwa wanawake  kwa ajili ya kudumisha Amani Barani Afrika
Baadhi ya washiriki kutoka Nchi mbalimbali Barani Afrika wakiwa na Profesa Juan Sainz Borgo (wa tano kutoka kulia) aliyetoa somo juu ya amani na ambaye ni mmoja wa viongozi wa chuo cha Amani Umoja wa Mataifa
Baadhi ya washiriki wa Mafunzo hayo maalum wakiwa katika picha ya pamoja.
Bi. Victoria Mwanziva alipotembelea Ubalozi wa Tanzania Nchini Ethiopia 
 Bi. Victoria Mwanziva alipotembelea Makao Makuu ya Umoja wa Afrika walipofanya ziara ya mafunzo.

Related

kitaifa 5972352479956554991

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item