TBL Group yang’ara bonanza la kuchangisha fedha za kusaidia wahanga wa Saratani | LUKAZA BLOG

TBL Group yang’ara bonanza la kuchangisha fedha za kusaidia wahanga wa Saratani

  Kikosi cha timu ya TBL Group kilichoshiriki katika bananza la makampuni   Mshambuliaji wa timu ya TBL Group    Flavian Ngolle (kush...

 Kikosi cha timu ya TBL Group kilichoshiriki katika bananza la makampuni
 Mshambuliaji wa timu ya TBL Group  Flavian Ngolle (kushoto) akionyesha machachari uwanjani.
 Mshambuliaji wa timu ya TBL Group Kurwa Mangara  (kulia) naye alidhihirisha yuko fit.
 Mlinzi wa timu ya TBL Group , ambaye ni Meneja mauzo Wilaya ya Kinondoni  na Ilala Innocent Mlay (Kulia) akidhihirisha kuwa mbali na Mauzo na kwenye soka yumo.
 Mshambuliaji wa timu ya TBL Group Kurwa Mangara  (kulia) akionyesha ukali wake uwanjani.
 Wafanyakazi wa timu ya TBL Group wakipeperusha bendara ya  kinywaji cha Grand Malt wakati wa mashindano hayo.
 Mshambuliaji wa timu ya TBL Group Bright Kimario, akiwania mpira mbele ya mlinzi wa timu ya Pan African
 Wachezaji watimu ya TBL Group wakifurahia ushindi mara baada ya kuiadhibu timu ya Lake oil kwa mabao 2-0.
Mlinzi wa timu ya TBL Group  Elisha Swai akionyesha umahiri wake uwanjani.

Viwanja vya michezo vya Gymkhana vilivyopo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki viligeuka kuwa kisima cha burudani za michezo kutokana na bonanza kubwa la makampuni lililoandaliwa na kampuni ya FB Attorneys kwa ajili ya kusaidia wahanga wa  ugonjwa wa Saratani.
Kampuni ya TBL Group ilikuwa miongoni mwa wadhamini wa bonanza hilo ambapo  wafanyakazi wake wengi walijitokeza kushiriki kupitia Programu maalumu ya mazoezi na kuimarisha afya za wafanyakazi ya kampuni ijulikanayo kama AFYA KWANZA.
Wafanyakazi walioshiriki bonanza hilo walionyesha matunda ya programu hiyo kwa jinsi ambavyo walionyesha ufanisi mkubwa katika michezo waliyoshiriki.

Related

Burudani 8758913709835055750

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item