Ipigie Kura Filamu ya Naomba Niseme kwenye Mashindano ya AMVCA 2017 | LUKAZA BLOG

Ipigie Kura Filamu ya Naomba Niseme kwenye Mashindano ya AMVCA 2017

Jinsi ya kupiga kura kupitia WeChat kwenye tuzo za AMVCA's 2017. Kupiga kura kupitia WeChat, unahitaji kuingia kwenye mtandao wa...Jinsi ya kupiga kura kupitia WeChat kwenye tuzo za AMVCA's 2017.
Kupiga kura kupitia WeChat, unahitaji kuingia kwenye mtandao wa WeChat kupitia simu yako ya mkononi.

Kupiga kura WeChat ni bure ila utalipia gharama za intaneti/bando turn.
Kama huna WeChat ktk simu yako ya mkononi,download. Alafu add Africamagictv kama contact.

Kutoka ID africamagictv, chagua VOTE(PIGA KURA). Kama namba yako haijatambuliwa na africamagictv kwenye WeChat,utaambiwa uingize namba yako ya Simu. Andika namba yako ya simu kwa namba za kimataifa. Mfano +2711 222 333 kisha utapokea ujumbe mfupi wenye neno la siri, andika neno hilo WeChat na utakuwa ushapiga  kura.

Related

Hot Stories 3773515815820064963

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item