MKUU WA WILAYA YA ROMBO,AGNES HOKORORO AKAMATA NA KUTEKETEZA LITA 4000 YA POM | LUKAZA BLOG

MKUU WA WILAYA YA ROMBO,AGNES HOKORORO AKAMATA NA KUTEKETEZA LITA 4000 YA POM

  Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akiangalia namna pombe ya kienyeji inavyoandaliwa baada ya kukamata kiwanda bubu cha kutengenezea ...

 Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akiangalia namna pombe ya kienyeji inavyoandaliwa baada ya kukamata kiwanda bubu cha kutengenezea pombe bila ya kufuata taratibu.
 Mmiliki wa kiwanda cha kutengeneza pombe ya kienyeji  aliyefahamik kwa jina moja la Carlos akitoa maelezo kwa Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo namna wanavyoandaa pombe hiyo.
 Carlos akifungua madumu makubwa yaliyohifadhi Pombe ya Kienyeji wakati wa utengenezaji wake katika kijiji cha Useri wilayani Rombo.
Sehemu ya Pombe ikiwa katika Mapipa baada ya kuvundikwa.
 Kreti za Chupa za Banana ambazo zimekuwa zikitumika pia katika kuwekea pombe hiyo mara baada ya kutengenezwa.
 Askari Mgambo akiweka ndizi zilizovundikwa katika ndoo ambazo pia hutumika katika utengenezaji wa pombe hiyo ya kienyeji.
 Mkuu wa wilaya ya Rombo,Agnes Hokororo akimwaga pombe hiyo iliyokuwa katika Chupa.
 Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akitizama daftari la mauzo lililokutwa katika kiwanda hicho.
Nyumba ambayo imekuwa iktumika kutengenezea Pombeza kienyeji kulipokutwa mitambo wa kutegeneza pamoja na pombe iliyokuwa katika maandalizi.
 Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akimwaga pombe ya kienyeji iliyokuwa ikiandaliwa katika moja ya kiwanda bubu kilichokutwa katika kijiji cha Useri wilayani humo.
 Katibu tawala wa wilaya ya Rombo ,Abubakar Asenga akimwaga pombe hiyo mara baada ya kufanya operesheni ya kushtukiza katika maeneo mbalimbali ya wilaya ya Rombo.
 Pombe iliyokuwa katika maandalizi ikimwagwa katika kiwanda hicho.
 Vizibo ambavyo vimekuwa vikitumika katika kufunika pombe hiyo mara baada ya kujazwa katika chupa.
 Katibu tawala wa wilaya ya Rombo

Related

Hot Stories 8698475262163836543

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item