NAPE AFUNGA MAFUNZO YA BLOGGERS TANZANIA | LUKAZA BLOG

NAPE AFUNGA MAFUNZO YA BLOGGERS TANZANIA

  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wamiliki wa Bloggers Tanzania kabla ya kufunga maf...

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wamiliki wa Bloggers Tanzania kabla ya kufunga mafunzo kwa mablooger hao yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM)

Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa ufungaji wa wa mafunzo kwa mablooger Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Muda wa Tanzania Bloggers network Bw. Joachim Mushi akizungumza na wamiliki wa Bloggers Tanzania kabla ya kumkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye kufunga mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam. 

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwakabidhi baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo kadi za uwanachama za mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF katika hafla ya ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya wamiuliki wa Bloggers Tanzania wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwakabidhi baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo kadi za uwanachama za mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF katika hafla ya ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwakabidhi baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo kadi za uwanachama za mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF katika hafla ya ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimkabidhi kadi ya uanachama ya Mfuko wa PSPF, mmiliki wa Tanzania Live Blog, Yusuf Badi katika hafla ya ufungaji wa mafunzo kwa Bloggers Tanzania yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam.

 Baadhi ya washiriki.

 Mkutano ukiendelea.

Washiriki wa mkutano huo

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa katika picha ya pamoja
 
Related

Hot Stories 4880626765516809371

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item