News Alert:Maxence Melo wa Jamii Forum apata dhamana leo | LUKAZA BLOG

News Alert:Maxence Melo wa Jamii Forum apata dhamana leo

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jamii Media ambao ni wamiliki wa forum maarufu nchini na nje ya Nchi ya Jamii Forums na Fikra Pevu, Ma...


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jamii Media ambao ni wamiliki wa forum maarufu nchini na nje ya Nchi ya Jamii Forums na Fikra Pevu, Maxence Melo amepandishwa Kizimbani leo ikiwa ni hatua mojawapo ya kushughulikia kupata dhamana ya kosa lake la tatu alilosomewa ijumaa iliyopita katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu

Ndugu Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu kwa makosa yake anayoshtakiwa likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa na Serikali.

Kesi ya Maxence itatajwa tena tarehe 29 December 2016.


Habari kamili itakujia muda si mrefu

Related

Hot Stories 169962944277883119

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item