PEMBE ZA FARU JOHN ZAONYESHWA KWA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUTHIBITISHA KUWA KAFA | LUKAZA BLOG

PEMBE ZA FARU JOHN ZAONYESHWA KWA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUTHIBITISHA KUWA KAFA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa pembe za faru John na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangili wa Wany...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa pembe za faru John na Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangili wa Wanyamapori (Acting Assistant Director of Antipoaching, Wildlife Division), Bw. Robert Mande, katika kikao klichofanyika kwenye Makazi yake jijini Dar es salaam Disemba 9, 2016. Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Related

Hot Stories 6825433130034154615

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item