Wafanyakazi wa TBL Group walivyoadhimisha siku ya UKIMWI | LUKAZA BLOG

Wafanyakazi wa TBL Group walivyoadhimisha siku ya UKIMWI

  Wafanyakazi wa TBL Group kutoka viwanda mbalimbali wakipima afya zao katika kutekeleza Programu ya AFYA KWANZA   Wafanyakazi wa...

 Wafanyakazi wa TBL Group kutoka viwanda mbalimbali wakipima afya zao katika kutekeleza Programu ya AFYA KWANZA
 Wafanyakazi wa TBL Group kutoka viwanda mbalimbali wakipima afya zao katika kutekeleza Programu ya AFYA KWANZA
 Wafanyakazi wa TBL Group kutoka viwanda mbalimbali wakipima afya zao katika kutekeleza Programu ya AFYA KWANZA
Wafanyakazi wa TBL Group walivyoadhimisha  siku ya UKIMWI
Wafanyakazi wa TBL Group kutoka mikoa ya Dar es Salaam,Mbeya,Arusha,Mwanza na Moshi wemeadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani kwa kutekeleza Programu ya afya za wafanyakazi  ya kampuni ijulikanayo kama AFYA KWANZA.
Katika kutekeleza program hii wafanyakazi waliweza kupima afya zao na kupata ushauri nasaha wa kukabiliana na maradhi mbalimbali,masuala ya lishe bora na umuhimu wa kufanya mazoezi ya mwili.
Mratibu wa Programu ya AFYA KWANZA,Bi.Julieth Mgani amesema kuwa  tangia programu hii ianzishwe imeonyesha mafanikio makubwa kwa kuwa inawawezesha wafanyakazi na familia zao kujenga utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara na kupatiwa elimu na ushauri kuhusiana na masuala ya afya bora.
Alisema kuwa kampuni itaendelea kuhimiza wafanyakazi wake wote na familia zao kushiriki ipasavyo katika programu hii ili kuhakikisha muda wote wanakuwa na afya bora.

Related

Kijamii 6990507104521943872

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item