Karibu ushuhudie Maonyesho ya Mbwa Kesho kibaha Maili moja | LUKAZA BLOG

Karibu ushuhudie Maonyesho ya Mbwa Kesho kibaha Maili moja

Tarehe 21 January ambayo ni kesho siku ya Jumamosi, Katika viwanja vya bwawani vilivyopo kibaha Maili Moja kutakuwa na maonyesho ya Mbwa ...

Tarehe 21 January ambayo ni kesho siku ya Jumamosi, Katika viwanja vya bwawani vilivyopo kibaha Maili Moja kutakuwa na maonyesho ya Mbwa yaliyoandaliwa na Prince Kennel kwa mlengo wa kutoa elimu juu ya ufugaji bora na wa kisasa wa mbwa aina zote, uzalishaji bora wa mbwa na mambo mengine. Njoo ukutane na wafugaji mbalimbali ambao wanafuga mbwa kisasa. Kama wewe ni mpenzi wa mbwa na ungependa kushiriki basi unakaribishwa kushiriki na kushuhudia pia ili upate kujifunza mambo mbalimbali yahusianayo na ufugaji bora na wa kisasa wa mbwa..

Related

Hot Stories 3073207699556304123

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item