LORRY LAVAMIA NJIA YA "MWENDOKASI" | LUKAZA BLOG

LORRY LAVAMIA NJIA YA "MWENDOKASI"

Na Said Msonga Lori lililosheheni mahindi lililokuwa likitokea soko la Tandale, Manzese jijini Dar es Salaam limevamia nj...
Na Said Msonga
Lori lililosheheni mahindi lililokuwa likitokea soko la Tandale, Manzese jijini Dar es Salaam limevamia njia inayotumiwa na mabasi yaendayo kasi (DART) na kusababisha msururu wa mabasi mengine kusimama kwa muda katika eneo la Manzese Darajani.
Kwa watumiaji wa barabara ya Morogoro kutoka Ubungo kuelekea katikati ya Jiji mnaombwa kuchukua tahadhari na kwa wenye haraka mnaweza kutumia njia nyingine.
Askari wa usalama barabarani wako eneo la tukio kusaidia kuyapitisha magari lakini kutokana na ufinyu wa njia magari yanapita taratibu sana.

Related

Hot Stories 7705078367292338226

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item