Magari ya serikali sasa kukiona cha Moto | LUKAZA BLOG

Magari ya serikali sasa kukiona cha Moto

Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama Barabarani, Mohamed Mpinga amesema kumekuwepo na malalamiko mengi kuwa magari ya serikali yanapendel...

Kamanda wa Polisi Kikosi cha usalama Barabarani, Mohamed Mpinga amesema kumekuwepo na malalamiko mengi kuwa magari ya serikali yanapendelewa hivyo kutawekwa kamera katika barabara kuu ili kupiga picha magari yote yenye makosa na kuadhibiwa.

Kamanda Mpinga ameyasema hayo katika mahojiano maalumu na Gazeti la Mwananchi na kusema kwa kipindi cha January hadi Disemba mwaka jana makosa yaliyotokea nchini ni milioni 1.9.

“Kamera hizo hazitajali ni gari la waziri, serikali, wala Mpinga na zitapiga picha gari zote kama ilivyo kwa msemo wa kupanga ni kuchagua,”amesema Mpinga.

Aidha Mpinga alisema kuwa makosa hayo yalitokana na ulevi, mwendo wa kasi,kupita katika taa nyekundu,kukatisha safari na kutovaa kofia ngumu.

Related

Hot Stories 6048581534369363953

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item