News Alert:Majambazi wawili wauwa na Polisi huko Mikocheni | LUKAZA BLOG

News Alert:Majambazi wawili wauwa na Polisi huko Mikocheni

Majambazi wawili wameuawa leo huku mwanamke mmoja aliyekuwa dereva akijisalimisha kwa vyombo vya usalama. Inadaiwa majambazi hao walitaka...

Majambazi wawili wameuawa leo huku mwanamke mmoja aliyekuwa dereva akijisalimisha kwa vyombo vya usalama. Inadaiwa majambazi hao walitaka kuvamia jengo la ofisi ya Milvik ambapo inasemekana walitaka kuwapora pesa raia wa china. Tukio hilo limetokea maeneo ya Mikocheni karibu na Shule ya Feza Sekondari.

Related

Hot Stories 2832109270258276333

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item