RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI AWAMU YA KWANZA YA MIUNDOMBINU NA UTOAJI HUDUMA YA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM | LUKAZA BLOG

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA RASMI AWAMU YA KWANZA YA MIUNDOMBINU NA UTOAJI HUDUMA YA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) JIJINI DAR ES SALAAM

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na  na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Mhe. M...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea na na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Mhe. Makhtar Diop kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam leo Januari 25, 2017
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Afrika Mhe. Makhtar Diop akiongea machache kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa Awamu ya Kwanza ya Miundombinu na Utoaji Huduma ya Mabasi yaendayo Haraka katika jiji la Dar es Salaam leo Januari 25, 2017

Related

Hot Stories 6059791611190279894

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item