TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MIKUMI | LUKAZA BLOG

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE OFISI YA MBUNGE JIMBO LA MIKUMI

Mkulima mmoja aitwaye OMARY SULULU mapema Leo tar 1 January 2017 ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani na mfug...

Mkulima mmoja aitwaye OMARY SULULU mapema Leo tar 1 January 2017 ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa na panga kichwani na mfugaji kwenye kijiji cha MAMOYO kata Ya MABWEREBWERE Jimbo La Mikumi. Tukio hilo limetokea baada ya Ndugu OMARY SULULU  alivyokuwa akijaribu kufukuza mifugo hiyo kwenye mashamba ya Migomba, nyanya na Mahindi,  Kwa sasa Ndugu OMARY SULULU anaendelea na Matibabu katika Hospitali Ya Wilaya Ya Kilosa.


Juhudi zilizokwishafanywa na Mhe Mbunge  ameweza kuwasiliana na Mkuu wa Wilaya Ya Kilosa kwa hatua zaidi

Lakini pia Mbunge wa jimbo La Mikumi Mhe JOSEPH LEONARD HAULE anaendelea kutoa wito na kuiomba sana serikali itusaidie kutatua migogoro hii isiyokwisha ya wakulima na wafugaji wilayani KILOSA...


Imetolewa na:~

Robert A. Galamona
Katibu Ofisi Ya Mbunge
Jimbo La Mikumi

Related

Hot Stories 746349329356578693

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item