TANZIA: MAZISHI YA BIBI CATHERINE MARWA (89) YAFANYIKA KENYAMANYORI TARIME MKOANI MARA. | LUKAZA BLOG

TANZIA: MAZISHI YA BIBI CATHERINE MARWA (89) YAFANYIKA KENYAMANYORI TARIME MKOANI MARA.

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Tarime mkoani Mara, akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu, bibi Catherine Seba Marwa ...

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Anglikana Jimbo la Tarime mkoani Mara, akiongoza ibada ya mazishi ya marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89). Mazishi yamefanyika hii leo katika Kata ya Kenyamanyori wilayani Tarime.
Na BMG
Ndugu, jamaa na marafiki wakiuaga mwili wa marehemu
Mtoto wa marehemu (kushoto) akiwa na shemeji yake, wakiweka shada
Viongozi wa dini wakiweka mashada
 Marehemu, bibi Catherine Seba Marwa (89), enzi za uhai wake. Mola aipumzishe roho ya marehemu, mahala pema, peponi, Amina!

Related

kitaifa 1643392591716247056

Post a Comment Default Comments

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

emo-but-icon

SEDUCE ME BY ALI KIBA

TMT 2016.FILAMU NDIO SISI

Winner ABA 2015

BOOK ME - YOUR JOB NEEDS ME

All Recent Posts

>

Connect Us

item